Eneo bunge la Belgut
Mandhari
Eneo bunge la Belgut ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Kericho miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia[hariri | hariri chanzo]
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.
Wabunge[hariri | hariri chanzo]
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Alfred Kiprato Kerich | KADU | |
1969 | Wesley K. Rono | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Alfred Kiprato arap Kerich | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Ayub arap Chepkwony | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Kiptarus arap Kirior | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Ayub arap Chepkwony | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Kiptarus arap Kirior | KANU | |
1997 | Kipng’eno arap Ngeny | KANU | |
2002 | Charles Cheruiyot Keter | KANU | |
2007 | Charles Cheruiyot Keter | ODM |
Kata na Wodi[hariri | hariri chanzo]
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu* |
---|---|
Kapsuser | 15,000 |
Chaik | 27,870 |
Chemamul | 15,051 |
Kabianga | 15,909 |
Kaplelatet | 15241 |
Kebeneti | 22,096 |
Kiptere | 20,692 |
Seretut | 18,283 |
Waldai | 41,616 |
Jumla | x |
*Hesabu ya 1999. |
Wodi | ||
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha | Utawala wa Mitaa |
---|---|---|
Cheptororiet | 3,162 | Munisipali ya Kericho |
Kapsuser | 2,517 | Munisipali ya Kericho |
Kipkoiyan | 3,934 | Munisipali ya Kericho |
Chaik | 8,691 | Kipsigis county |
Chemamul | 5,588 | Kipsigis county |
Kabianga | 5,895 | Kipsigis county |
Kaplelatet | 4,553 | Kipsigis county |
Kebeneti | 6,867 | Kipsigis county |
Kiptere | 7,091 | Kipsigis county |
Seretut | 2,549 | Kipsigis county |
Waldai | 9,260 | Kipsigis county |
Jumla | 60,107 | |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazaama Pia[hariri | hariri chanzo]
- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Belgut kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |